JINSI YA USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA TANZANIA
Jina la biashara ni nini?  Jina la biashara ni utambulisho wa biashara fulani inayofanywa na mtu au kikundi cha watu. Hivyo mtu mmoja au kikundi cha watu wasiozidi 20 wanaweza kusajili jina la biashara. Mfano wa majina ya biashara ni Ali Entreprises, Rose Beauty Salon au John Urassa Investments, n.k Faida za Urasimishaji wa Jina la Biashara ni zipi?...
0 Comments 0 Shares 441 Views 0 Reviews
Gaming Sorted https://gamingsorted.com