Hatua 10 za kusajili Jina la Biashara
Tembelea www.brela.go.tz au ors.brela.go.tz Ingia katika akaunti yako ya Usajili kwa Njia ya Mtandao (ORS) au tengeneza akaunti katika mfumo. Chagua huduma mtandao Chagua jina la biashara Chagua aina ya huduma Chagua aina ya jina biashara Jaza taarifa za biashara husika Pakia viambatisho katika mfumo. Fanya malipo kwa njia ya simu au benki. Maombi yatafanyiwa kazi baada ya malipo...
0 Comments 0 Shares 435 Views 0 Reviews
Gaming Sorted https://gamingsorted.com