$10 - $10 / Month
Location
MDAs & LGAs
Tipo
Full Time
Status
Open
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10154
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia; iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya wanafunzi; iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani; v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi; vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu; vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule. https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10154
0 Commentarios 0 Acciones 3K Views 0 Vista previa
Patrocinados

Buy and Sell Near You

Do you have something to sell to rent, any service to offer? it is simple fast and efficiently at binhalifa.com

Gaming Sorted https://gamingsorted.com