sh10 - $10 / Month
Locatie
MDAs & LGAs
Type
Tijd
Status
Open
i.Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Msanifu majengo aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili husika kama “professional architect” ili kupata uzoefu unaotakiwa.

ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili inayowahusu wasanifu majengo;

iii.Kufuatilia upatikanaji wa taarifa na taaluma za usanifu wa majengo;

iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali majengo yanayowasilishwa wizarani; na

v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10162
i.Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Msanifu majengo aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili husika kama “professional architect” ili kupata uzoefu unaotakiwa. ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili inayowahusu wasanifu majengo; iii.Kufuatilia upatikanaji wa taarifa na taaluma za usanifu wa majengo; iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali majengo yanayowasilishwa wizarani; na v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake. https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10162
0 Reacties 0 aandelen 279 Views 0 voorbeeld