0 التعليقات
0 المشاركات
2كيلو بايت مشاهدة
0 معاينة
البحث
إكتشاف أشخاص جدد وإنشاء اتصالات جديدة وصداقات جديدة
-
الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
-
Vigezo vya kusajili Jina la biashara TanzaniaVigezo 8 vya kusajili Jina la biashara Tanzania Jina la biashara linalokubalika kisheria. Mwombaji awe Mtanzania. Awe na umri kuanzia miaka 18. Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN) Namba ya simu iliyosajiliwa ya kwake binafsi. Anuani ya baruapepe hai (binafsi) Anuani ya eneo la biashara. Anuani ya makazi ya mmiliki au wamiliki wa biashara.0 التعليقات 0 المشاركات 2كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة