Business
    Gharama au Ada za majina ya biashara Tanzania
    Tazama Tozo za majina ya biashara Tanzania.    OMBI ADA (Tsh) Ada ya maombi    15,000.00 Ada ya uendeshaji (inalipwa kila mwaka)      5,000.00 Maombi ya kusajili Notisi ya Usitishaji wa Biashara   10,000.00 Maombi ya kusajili mabadiliko ya taarifa yoyote iliyosajiliwa   15,000.00 Kukagua rejesta     2,000.00 Nakala ya sehemu ya  isiyo na ithibati ya waraka wowote ulio chini ya...
    By gamesorted 2025-11-13 20:55:05 0 4K
    Business
    Vigezo vya kusajili Jina la biashara Tanzania
    Vigezo 8 vya kusajili Jina la biashara Tanzania Jina la biashara linalokubalika kisheria. Mwombaji awe Mtanzania. Awe na umri kuanzia miaka 18. Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN) Namba ya simu iliyosajiliwa ya kwake binafsi. Anuani ya baruapepe hai (binafsi) Anuani ya eneo la biashara. Anuani ya makazi ya mmiliki au wamiliki wa biashara.
    By gamesorted 2025-11-13 20:33:46 0 4K
    Business
    Hatua 10 za kusajili Jina la Biashara
    Tembelea www.brela.go.tz au ors.brela.go.tz Ingia katika akaunti yako ya Usajili kwa Njia ya Mtandao (ORS) au tengeneza akaunti katika mfumo. Chagua huduma mtandao Chagua jina la biashara Chagua aina ya huduma Chagua aina ya jina biashara Jaza taarifa za biashara husika Pakia viambatisho katika mfumo. Fanya malipo kwa njia ya simu au benki. Maombi yatafanyiwa kazi baada ya malipo kupokewa.
    By gamesorted 2025-11-13 20:28:29 0 4K
    Business
    JINSI YA USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA TANZANIA
    Jina la biashara ni nini?  Jina la biashara ni utambulisho wa biashara fulani inayofanywa na mtu au kikundi cha watu. Hivyo mtu mmoja au kikundi cha watu wasiozidi 20 wanaweza kusajili jina la biashara. Mfano wa majina ya biashara ni Ali Entreprises, Rose Beauty Salon au John Urassa Investments, n.k Faida za Urasimishaji wa Jina la Biashara ni zipi? Kulipa jina la biashara utambulisho wa kisheria Kulinda jina la biashara lisitumiwe na mtu mwingine....
    By gamesorted 2025-11-13 20:25:39 0 4K
More Blogs
Read More
Games
Gaming News (2025): Trends, Highlights, and What’s Next
The global gaming industry continues its rapid evolution in 2025, with groundbreaking...
By GAMING ZONE 2025-06-10 04:17:27 0 9K
Games
Gaming Training Tech: Revolutionizing How Gamers Level Up
In the ever-evolving world of video games, competition has become fiercer than ever. With the...
By GAMING ZONE 2025-06-09 14:42:37 0 7K
Wellness
How to Develop a Positive Mindset
Introduction In today's fast-paced world, maintaining a positive mindset can be a game-changer. A...
By gamesorted 2025-02-16 14:50:59 0 10K
Pet
How to Prepare Frozen Meatballs - Quick & Easy Guide
Discover my proven methods for how to prepare frozen meatballs to perfection. Learn multiple...
By gamesorted 2024-11-07 17:20:19 0 9K
Pet
Bull Terrier: The Friendly and Athletic Dog Breed
Discover the fascinating world of the bull terrier - a loyal and energetic companion known for...
By gamesorted 2024-11-05 17:46:50 0 10K
Gaming Sorted https://gamingsorted.com