Gharama au Ada za majina ya biashara Tanzania
Tazama Tozo za majina ya biashara Tanzania.
OMBI
ADA (Tsh)
Ada ya maombi
15,000.00
Ada ya uendeshaji (inalipwa kila mwaka)
5,000.00
Maombi ya kusajili Notisi ya Usitishaji wa Biashara
10,000.00
Maombi ya kusajili mabadiliko ya taarifa yoyote iliyosajiliwa
15,000.00
Kukagua rejesta
2,000.00
Nakala ya sehemu ya isiyo na ithibati ya waraka wowote ulio chini ya...
Vigezo vya kusajili Jina la biashara Tanzania
Vigezo 8 vya kusajili Jina la biashara Tanzania
Jina la biashara linalokubalika kisheria.
Mwombaji awe Mtanzania.
Awe na umri kuanzia miaka 18.
Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN)
Namba ya simu iliyosajiliwa ya kwake binafsi.
Anuani ya baruapepe hai (binafsi)
Anuani ya eneo la biashara.
Anuani ya makazi ya mmiliki au wamiliki wa biashara.
Hatua 10 za kusajili Jina la Biashara
Tembelea www.brela.go.tz au ors.brela.go.tz
Ingia katika akaunti yako ya Usajili kwa Njia ya Mtandao (ORS) au tengeneza akaunti katika mfumo.
Chagua huduma mtandao
Chagua jina la biashara
Chagua aina ya huduma
Chagua aina ya jina biashara
Jaza taarifa za biashara husika
Pakia viambatisho katika mfumo.
Fanya malipo kwa njia ya simu au benki.
Maombi yatafanyiwa kazi baada ya malipo kupokewa.
JINSI YA USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA TANZANIA
Jina la biashara ni nini?
Jina la biashara ni utambulisho wa biashara fulani inayofanywa na mtu au kikundi cha watu. Hivyo mtu mmoja au kikundi cha watu wasiozidi 20 wanaweza kusajili jina la biashara. Mfano wa majina ya biashara ni Ali Entreprises, Rose Beauty Salon au John Urassa Investments, n.k
Faida za Urasimishaji wa Jina la Biashara ni zipi?
Kulipa jina la biashara utambulisho wa kisheria
Kulinda jina la biashara lisitumiwe na mtu mwingine....
Blogs
Leia mais
Mini Bernedoodle: The Perfect Compact Family Companion
Discover the Mini Bernedoodle, a loving and intelligent designer breed that combines the best...
Mobile Gaming Trends in 2025: What’s Driving the Future of Play
Mobile gaming continues to be the fastest-growing segment in the global gaming industry,...
Vigezo vya kusajili Jina la biashara Tanzania
Vigezo 8 vya kusajili Jina la biashara Tanzania
Jina la biashara linalokubalika kisheria....
Labradoodle Health Issues
Discover common health issues affecting Labradoodles and learn how to prevent them. I'll guide...
Indie Games to Play in 2025: Hidden Gems and Must-Try Experiences
The indie gaming scene in 2025 continues to thrive, offering a vibrant alternative to big-budget...