0 Comments
0 Shares
2K Views
0 Reviews
Search
Discover new people, create new connections and make new friends
-
Please log in to like, share and comment!
-
Vigezo vya kusajili Jina la biashara TanzaniaVigezo 8 vya kusajili Jina la biashara Tanzania Jina la biashara linalokubalika kisheria. Mwombaji awe Mtanzania. Awe na umri kuanzia miaka 18. Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN) Namba ya simu iliyosajiliwa ya kwake binafsi. Anuani ya baruapepe hai (binafsi) Anuani ya eneo la biashara. Anuani ya makazi ya mmiliki au wamiliki wa biashara.0 Comments 0 Shares 2K Views 0 Reviews