0 Комментарии
0 Поделились
962 Просмотры
0 предпросмотр
Поиск
Знакомьтесь и заводите новых друзей
-
Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
-
JINSI YA USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA TANZANIAJina la biashara ni nini? Jina la biashara ni utambulisho wa biashara fulani inayofanywa na mtu au kikundi cha watu. Hivyo mtu mmoja au kikundi cha watu wasiozidi 20 wanaweza kusajili jina la biashara. Mfano wa majina ya biashara ni Ali Entreprises, Rose Beauty Salon au John Urassa Investments, n.k Faida za Urasimishaji wa Jina la Biashara ni zipi?...0 Комментарии 0 Поделились 9Кб Просмотры 0 предпросмотр
-
Vigezo vya kusajili Jina la biashara TanzaniaVigezo 8 vya kusajili Jina la biashara Tanzania Jina la biashara linalokubalika kisheria. Mwombaji awe Mtanzania. Awe na umri kuanzia miaka 18. Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN) Namba ya simu iliyosajiliwa ya kwake binafsi. Anuani ya baruapepe hai (binafsi) Anuani ya eneo la biashara. Anuani ya makazi ya mmiliki au wamiliki wa biashara.0 Комментарии 0 Поделились 9Кб Просмотры 0 предпросмотр