0 Kommentare
0 Geteilt
2KB Ansichten
0 Bewertungen
Suche
Entdecken Sie neue Leute, knüpfen Sie neue Kontakte und schließen Sie neue Freundschaften
-
Bitte loggen Sie sich ein, um liken, teilen und zu kommentieren!
-
Vigezo vya kusajili Jina la biashara TanzaniaVigezo 8 vya kusajili Jina la biashara Tanzania Jina la biashara linalokubalika kisheria. Mwombaji awe Mtanzania. Awe na umri kuanzia miaka 18. Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN) Namba ya simu iliyosajiliwa ya kwake binafsi. Anuani ya baruapepe hai (binafsi) Anuani ya eneo la biashara. Anuani ya makazi ya mmiliki au wamiliki wa biashara.0 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen