0 Commenti
0 condivisioni
2K Views
0 Anteprima
Cerca
Scopri nuove persone e i loro amici a quattro zampe, e fai nuove amicizie
-
Effettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare!
-
Vigezo vya kusajili Jina la biashara TanzaniaVigezo 8 vya kusajili Jina la biashara Tanzania Jina la biashara linalokubalika kisheria. Mwombaji awe Mtanzania. Awe na umri kuanzia miaka 18. Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN) Namba ya simu iliyosajiliwa ya kwake binafsi. Anuani ya baruapepe hai (binafsi) Anuani ya eneo la biashara. Anuani ya makazi ya mmiliki au wamiliki wa biashara.0 Commenti 0 condivisioni 2K Views 0 Anteprima